Psalms 37:28-29

28 aKwa kuwa Bwana huwapenda wenye haki
naye hatawaacha waaminifu wake.

Watalindwa milele,
lakini uzao wa waovu utakatiliwa mbali.
29 bWenye haki watairithi nchi,
na kuishi humo milele.
Copyright information for SwhNEN